Sheria mpya inayowaruhusu maafisa wa polisi kuvaa vilemba badala ya kofia rasmi za polisi imezinduliwa mjini New York,

maafisa wanasema.
Idara ya polisi mjini New York imesema kuwa vilemba hivyo ni shart viwe vya rangi ya buluu mbali na kumiliki chapa cha cha polisi wa New York NYPD.
Chini ya sheria mpya ,wanachama wa dini ya kalasinga katika kikosi cha polisi pia wataruhusiwa kuweka ndevu zenye urefu wa nchi moja.
Maafisa Makalasinga wamekuwa wakivaa vilemba chini ya kofia zao rasmi.Ndevu hazikuwa zimeruhusiwa.
Kamishana wa mji wa New York James O'neil amesema kuwa mabadiliko hayo ni ya kuwavutia Makalasinga zaidi kutuma maombi ya kufanya kazi katika kikosi cha polisi mjini humo.
Muungano wa maafisa Makalasinga nchini Marekani umemshukuru O'neill katika chapisho la mtandao wa Twitter,ukiongezea kuwa ni fahari kubwa kwa jamii ya Makalasinga.

Likes

Comments

Chelsea star joins Shanghai SIPG for reported $74M

CNN.com: Sport

The Premier League club is set to receive a reported transfer fee of £60 million ($74 million) for the 25-year-old, more than double the £25 million it paid Brazilian club Internacional for his services in 2012.

"We thank Oscar for his wonderful service and wish him the very best of luck for the future," Chelsea said in a statement on its website.

"Skilful and tenacious, Oscar has been highly regarded by fans, players and staff during his time as a Blue, scoring 38 times from 203 Chelsea appearances."

In his four-and-a-half years at the club, Oscar lifted the Premier League, League Cup and Europa League, while twice winning Chelsea's Goal of the Season award.

Oscar will join up with former Chelsea boss Andre Villas-Boas -- now manager at Shanghai SIPG -- and compatriot Hulk, who signed for the club in June for a then Asian record fee of $61 million.

The Brazilian will move to Shangai on January 1 and earn a reported $491,000-a-week, making him one of the world's highest paid players, although the club couldn't confirm a transfer fee.

Oscar and his new teammates will then travel to Doha two days later for the club's winter training schedule, Shanghai SIPG confirmed to CNN.

Likes

Comments